#StayHappening
Sun, 25 Oct, 2026 at 03:00 pm UTC+03:00

TAMASHA LA KIHISTORIA UMOJA WA WAGOGO TANZANIA

  • Dodoma · Dar Es Salaam
AimVisioner Anthony Michael Publisher / Host AimVisioner Anthony Michael
Share
TAMASHA LA KIHISTORIA UMOJA WA WAGOGO TANZANIA
Advertisement
KARIBU JIUNGE NA KIKUNDI CHA UMOJA WA WAGOGO TANZANIA KWAAJILI YA KUSAIDIANA HASA KWENYE SHIDA MARADHI,MAJANGA,AJALI,VIFO,SHEREHE
TUNAPATIKANA TANZANIA NZIMA IKIWA MAKAO MAKUU YAPO DODOMA,
JIUNGE LEO ILI UONGEZE FAMILIA SAIDIZI KATIKA MAIDHA YAKO
JIUNGE WASILIANA NASI KWA KUPIGA SIMU +255766 403 568
WAWEZA KUTEMBELEA PLATFORM ZETU
YOU TUBE CHANNEL https://youtube.com/@umojawawagogotanzania?si=xBqD74Z-vRfzWwmR
FACEBOOK PAGE https://www.facebook.com/profile.php?id=61589332411225
TIKTOK _UMOJA-WA_WAGOGO#_TANZANIA#
WHATSAP CHANNEL https://whatsapp.com/channel/0029VbBxIzk77qVTINTHe61c
1.MWENYEKITI MKUU @Asheri Mahebu
2.KATIBU MKUU @Anthony Michael
3.MHASIBU @Cren Philipo
jiunge nasi kuelekea Tamasha la mwaka wa kwanza octoba 25 mwaka huu
#Umoja#wa#wagogo_Tanzania#
Advertisement

Event venue

Dodoma, Dar es Salaam, Tanzania

Tickets
Concerts, fests, parties, meetups — all the happenings, one place.

Discover more events by tag

Ask AI if this event suits you

Keep the plans coming

More events in Dar Es Salaam

medication

Sun, 01 Nov at 10:00 am Keko, Dar Es Salaam, Tanzania

Dar Es Salaam is happening.

See everything else that’s on — concerts, markets, comedy and more.