Advertisement
HUZUNI KWA WANA SPORTSJayden Adams, kiungo wa Afrika Kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 25. Kifo chake kilitangazwa leo tarehe 11-07-2026 , na hadi sasa chanzo rasmi cha kifo hakijawekwa wazi. Viongozi wa soka, wachezaji wenzake na mashabiki wameendelea kutoa salamu za pole na heshima kwa mchango wake katika soka la Afrika Kusini.
#SOUTHAFICAN #FIFAWORLDCUP2026 #SOKALABONGO #AFRICA
Advertisement
Event venue
Mamelodi Sundowns, Dar es Salaam, Tanzania
Tickets