Advertisement
Bio waste water E. A Enterprises ni wataalamu wa mifumo ya bio-digesters. Tuna mifumo ya :-1. Watu 1-10.
2.watu 1-20.
3. Watu1- 50.
4. Watu 1-70.
5.watu 1-100.
6.watu. 150.
7. Watu 1-200.
8. Watu 1-300.
9 watu 1-500.
Mfumo wa Bio-digester, ni mfumo wa kisasa zaidi badala ya kuchimba mashimo makubwa yakujengea kwa matofali.
Mfumo huu unafaida zifuatazo :-
👉 Unatumia nafasi ndogo kwenye eneo lako.
👉 Mfumo haujai.
👉Hunyonyi maji machafu tena.
👉 Mfumo unajengwa ndani ya siku 3 kwa nyumba zote za familia.
👉 Mfumo hautoi harufu mbaya.
👉Mfumo unajengwa na wataalamu.
👉 Mfumo ni Rafiki wa mazingira.
👉Mfumo una mwonekano mzuri.
👉Tunapeana guarantee ya miaka 5.
PICHANI NI KAZI ZETU KWEMBE - DAR
.
Tupigie simu,
Voda 0763854521.
Tigo..0653410020.
Whatsaap.. +254 704653236.
Advertisement
Event venue
Mbezi Luis, mbezi,Dar es Salaam, Tanzania
Tickets