Advertisement
Kumbukumbu la Torati 28:1-31 Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;
2 na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana, Mungu wako
3 Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani.
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Kisutu, Dar es Salaam, Tanzania
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.







