SIKU 7 ZA MAOMBI YA KISASI CHA MUNGU KIWE JUU YA ADUI ZANGU

Thu, 08 Jan, 2026 at 11:00 am UTC+03:00

Dar-es-alaam, Tanzania | Dar Es Salaam

Heavenly Kingdom Prophetic Ministry
Publisher/HostHeavenly Kingdom Prophetic Ministry
SIKU 7 ZA MAOMBI YA KISASI CHA MUNGU KIWE JUU YA ADUI ZANGU
Advertisement
MUNGU WA KISASI UINUKE UPIGANE NAO WANAOPIGANA NAMI
Soma ZABURI 35:1-8 Mara 7 Kisha OMBA Hili OMBI Mara 7.
Kisha Omba Kila anaekuendea kwenye madhabahu za giza kukuombea mabaya na akitaka kukuangamiza na kuharibu maisha yako MUNGU wa Kisasi Akutane nae na apigane nae na kila ubaya anaokusudia ukupata na umpate mwenyewe kwa ghafla aambishwe na kufedhegeshwa mtu yeyote anayekutakia mabaya kwa Jina La YESU.
Leo Tutaomba Pamoja Kwa Nguvu na Ujasiri na Kunapopambazuka Tunapambazuka na Majibu Yetu.
Utaona Jinsi Mungu alivyo Mkali kwa wabaya wako.
Hakikisha Unakuwa macho na Unaisoma ZABURU 35:1-8
Hii itampiga kila atakaye jichanganya kutaka kukuharibia maisha yako kivyovyote vile iwe Kihuduma, Kibiashara, Kazini kwako, Ndoa, Mahusiano, Uchumi, Afya, Elimu, Yaani Kila Anaecheza na Maisha Yako na kutaka kuharibia ama kukurudisha nyuma ama kutaka kukuua leo Asibaki salama Zaburi hii ikamsake popote alipo na imalizane nae.
ANGALIZO
Haya ni MAOMBI YA HATARI Ivyo Usiombe Ukiwa Unasinzia na Usiombe Kivivu Wala Kichovu kama Utahisi Uchovu na Uvivu bora usiyaombe.

Na ni kwa Siku 7
#ProphetWilliamSonOfGod
#HeavenlyKingdomPropheticMinistry
#TheChurchOfJesusChrist
Advertisement

Event Venue & Nearby Stays

Dar-es-alaam, Tanzania, Dar es Salaam, Tanzania

Icon
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.

Ask AI if this event suits you: