Advertisement
NDONT HOLD YOUR PAST.Ili uweze kufika MBALI kwenye eneo la huduma,ndio,biashara,kujiajiri, kazi yeyote Ile
LAZIMA UIFANYE KWA BIDIII YAKO YOTE.
WEKEZA KWENYE UFAHAMU WAKO
maarifa kutosha Ili uweze kufanya vizuri
WEKEZA KWENYE UWEZO WAKO.
Ni muhimu kuimarisha uwezo WAKO Ili uweze kuzalisha kitu Bora zaidi.
TAMBUA KUSIDI LA MAISHA YAKO HAPA DUNIANI NI LIPI HASA.
TUNZA ULICHONACHO. Kama Mungu amekupa vitu HAKIKISHA UNA TUNZA sana MAANA ukiharibu kutengeneza ni gharama kubwa sana, na wakati Mwingine waweza kupotea kabisa kwenye Hilo eneo la KUWA Bora.
JAMBO LA mwisho kwa Leo
Usibebe mambo ya nyuma au changamoto yeyote ya maisha Yako. Mukabidhi YESU KRISTO. Naye atakupumuzisha uwe huru Kila saa .
Ipo hivo unapo beba wazo lolote au changamoto yeyote kwenye moto WAKO unapoteza utulivu WA Ndani WA kufikiri NAMUNA ya kusonga mbele zaidi.
Mfano ilikuwa na MAHUSIANO na mkaka ghafla kakuacha. Huna haja ya kumufikiria na kutaka kulipiza kisasi Bali mwache aende Ili update NAFASI ya kuboresha zaidi ujana wako.
Focus zaidi kwenye kufikiria juu NAMUNA ya kujenga biashara zako na kutimiza Ndoto zako mwanaume atakuja tu anayeendana na MALENGO YAKO.
Kumbuka kutu Bora Huwa kinajiuza chenyewe WAla hakihitaji dalali ,kitatafutwa tu automatic.
Kikubwa pambana mpaka watu wajue wachukue maarifa kwako. Maana ukifanikiwa utakuwa Nuru ya ulimwengu.
Isaya 60:1-5,19:22.
MUNGU AKUBARIKI SANA usiku MWEMA
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Kiwalani, Dar es Salaam, Tanzania
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.
