Advertisement
π₯ WARSHA YA UJASIRIAMALI (PRACTICAL WORKSHOP) π₯Warsha hii ya Ujasiriamali imelenga kuwawezesha washiriki kupata uelewa wa vitendo wa namna ya kuanzisha, kuendesha na kukuza biashara endelevu kulingana na hatua walizopo. Mafunzo haya siyo ya nadharia, bali ni ya vitendo, kujifunza na kuchukua hatua halisi.
π Utajifunza kwa vitendo:
β Namna ya kupanga bei sahihi za bidhaa na huduma
β Jinsi ya kuandaa taarifa ya mapato na matumizi ili kujua faida au hasara
β Kuunganisha biashara na mifumo ya uendeshaji wa biashara
β Jinsi ya kujitenga na biashara yako ili ijiendeshe bila kukutegemea
β Mbinu za kuongeza mauzo na kudhibiti gharama zisizo za lazima
π₯ Walengwa:
πΉ Wajasiriamali wenye biashara
πΉ Wanaotaka kuanzisha biashara
πΉ Vijana na watu binafsi wanaotaka kujiajiri
π οΈ Kumbuka ni mafunzo ya vitendo β siyo nadharia
π Tarehe: 7/03/2026
β° Muda: Saa 3:00 asubuhi β Saa 11:00 jioni
π Mahali: Bamaga β Sinza, Dar es Salaam.
π² Jiandikishe sasa β nafasi ni chache!
ππΏ https://forms.gle/8VKpVEa91ZFKDc5r8
Advertisement
Event Venue
Mchafukoge, Dar es Salaam, Tanzania
Tickets
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.






