simba day

Tue, 01 Apr, 2025 at 03:00 am UTC+03:00

Pugu, Dar Es Salaam, Tanzania | Dar Es Salaam

Simba mpya
Publisher/HostSimba mpya
simba day
Advertisement
HATIMAYE kusubiri kumekwisha, leo ni Agosti 3, 2024 ndio ile siku ya Ubaya Ubwela, kilele cha Tamasha la SIMBA DAY ambapo macho ya wapenda soka Tanzania na Afrika Mashariki yataelekezwa katika dimba la Benjamin Mkapa.
Mnyama Simba SC atakuwa anatambulisha wachezaji na bechi lake la ufundi kwa msimu wa 2024/2025 wakiwemo wachezaji wapya iliyowasajili.
Tamasha hilo la 16 tangu lilipoasisiwa mwaka 2009 chini ya uongozi wa Mzee Hassan Dalali na Mwina Kaduguda litahitimishwa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR ya Rwanda.
Advertisement

Event Venue & Nearby Stays

Pugu, Dar Es Salaam, Tanzania

Sharing is Caring: