Advertisement
Bwana YESU asifiwe sana wapendwa. Tunamshukuru sana Mungu kuwa ujenzi wa nyumba ya Bwana Hapa Ndanda unaendelea vizur kama picha zinavyoonesha . Tunashukuru kwa maombi na michango yako. Tunapenda kuliarifu kuwa tarehe 26.4.2025 tunakusudia kuwa na sherehe ya uzinduzi wa jengo hili la Ibada. Tunakualika kuja kujiunga nasi. Na wale wote walio mbali tunatamani kurusha ibada hiyo live kwenye page yetu hii ya fpctndandanews. Tunatamani sana usikose kuhudhuria kwa kuwa nasi hapa mtandaoni au kuja kushiriki nasi.Mungu akubariki sana
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Kisutu, Dar es Salaam, Tanzania