Advertisement
πΈβ¨ Siku ya Wanawake Duniani 2026 β¨πΈMwanamke ni nguzo ya familia, jamii na taifa.
Ni wakati wetu kusimama, kuungana na kusherehekea nguvu, uthubutu na mchango wa mwanamke katika dunia ya leo.
π 08/03/2026
π Suma JKT Uhuru Hall β Mwenge
β° Saa nne asubuhi
π Dress Code: Kitenge (Njoo uangaze kwa urembo wa asili!)
Hii si sherehe tu⦠ni jukwaa la kuhamasishana, kujifunza, kupeana motisha na kuinukana kiuchumi na kijamii.
Kila mwanamke ana ndoto.
Kila mwanamke ana thamani.
Kila mwanamke ana nguvu ya kubadilisha dunia. πͺπΎπ
Usikose kuwa sehemu ya siku hii ya kipekee.
Njoo tujenge mtandao, tushirikishane uzoefu na tusherehekee UANAMKE kwa fahari!
π Kwa mawasiliano: 0755647862
π©πΎβπΌ Maadam zay..
#SikuYaWanawakeDuniani
#MwanamkeNiNguvu
#WanawakeTunaweza
#KitengeDay
#InukaMwanamke
Advertisement
Event Venue
Kisutu, Dar es Salaam, Tanzania
Tickets
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.
