Advertisement
🌟 SHULE YA BIBLIA YA LIKIZO (VBS) 2026 🌟Idara ya Watoto – DPC Idara ya Watoto inapenda kuwaalika wazazi wote kuwasajili watoto wao kushiriki katika Shule ya Biblia ya Likizo (VBS) 2026! 🎉
📌 VBS ya Kiswahili: 15 Juni – 21 Juni 2026
👧🧒 Umri wa Watoto: Miaka 3 – 15
✅ Jisajili Sasa:
🇹🇿 Usajili wa VBS ya Kiswahili:
https://dpc.or.tz/?ctc_event=shule-ya-biblia-ya-likizo-vbs-jumatatu-15-juni-ijumaa-21-juni-2026-kambi-ya-kilimanjaro
📖✨ Usikose nafasi hii nzuri kwa watoto wako kujifunza Neno la Mungu, kukua kiroho, na kufurahia shughuli mbalimbali za kujenga imani!
#DPC #VBS2026 #ShuleYaBibliaYaLikizo #HudumaYaWatoto #WatotoWaDPC #Imani #YesuAnawapendaWatoto #Kanisa #FamiliaYaImani #DPCChurch
Advertisement
Event Venue
Kinondoni Road, +255 Dar es Salaam, Tanzania, Dar Es Salaam, Tanzania
Tickets
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.





