Advertisement
Fanyika baraka kuwezesha watoto kwenda Shuleni πππβοΈππππππ Kupitia kampeni ya Taasisi ya TLF ya mwanafunzi smart inayofanyika kila mwaka mara 2 kuhakikisha tunafanyika baraka kwafamilia au vituo vinaoishi katika mazingira magumu
Tunakuomba fanikisha watoto kurudi shuleni kwakuwapatia vifaa vyashule au chochote kinachohitajika katika maisha yabinadamuπ©³ππππππππ₯ͺ
Unaweza kuwasilisha mchango wako kupitia Account No CRDB 01507497944100 Voda LIPA no 5865441 Jina TANZANIA LAMBERT FOUNDATION
Pia wawezafikisha mchango wako ofisini Magomeni Usalama jengo linalotazamana na Watumishi House Floor 1
zoezi litakuwa tarehe 31/01 kituo cha Green Pastures kilichopo Bagamoyo Mtaa wa Nyota Njema
Pia unaweza kuja na mchango wako siku hiyo
Mawasiliano zaidi 0763611533
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Kisutu, Dar es Salaam, Tanzania
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.





