Advertisement
Kwa upendo wa dhati wa Kristo na kwa neema tele ya Mungu wetu, tunayo furaha na heshima kubwa kukualika wewe, kijana mwenzetu, kushiriki pamoja nasi katika semina maalum ya kiroho itakayolenga kujenga, kuimarisha, na kuhuisha maisha ya vijana katika imani.Semina hii ni nafasi ya kipekee ya kujifunza Neno la Mungu, kupata mwongozo wa kiroho, na kujengwa katika safari yako ya wokovu ukiwa pamoja na vijana wengine wenye shauku ya kumtumikia Mungu.
MAELEZO YA SEMINA
Somo Kuu: Ukristo na Ujana
Njoo na Daftar(notebook )pamoja na kalamu (pen)
Advertisement
Event Venue
Kansas City, Missouri, United States
Tickets
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.











