Advertisement
Je, Una Kiu ya kupata au kuongeza elimu ya utumishi? Chuo chetu cha Potter’s kinatoa Certificate na Diploma ya Thiolojia na Upandaji wa Makanisa kwa miezi sita tu. Miezi ya kwanza mitatu ni ya masomo ya darasani na miezi mingine mitatu ni ya masomo ya field. Awamu ya KUMI wameshamaliza masomo yao na tunamkaribisha yeyote aliye na kiu kujiunga na awamu ya KUMI NA MOJA itakayoanza TAR 15/1/2026. Tunatoa huduma ya malazi na chakula kwa wanafunzi wote. Kwa maelezo zaidi piga 0628335950.
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Tegeta, Dar es Salaam, Tanzania
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.







