Advertisement
Special summit for Women in the office of Apostle, Prophet, Evangelist, Pastor & Teacher. Founders, Head of Ministries & G.O. MAHALI: Peacock Hotel (Posta Baridi). LINI: Tarehe 7-9 Desemba 2024. Tarehe 7(Jumamosi) Saa 2 asubuhi - saa 6 mchana. Tarehe 8(Jumapili) Saa 8 mchana - saa 12 jioni. Tarehe 9 (Jumatatu) Saa 8 mchana - saa 12 jioni. Uko kwenye huduma tayari unamtumikia Mungu. Una wito wa kumtumikia Mungu lakini hujaanza bado. Unajua una wito ndani ila hujui nini unapaswa ufanye. Huwa una tamani una shauku sana kumtumikia Mungu. Njoo Tujifunze, tuombe, tufurahi pamoja, tumsikie Mungu na tupate hatua kwenye yale tuliyoitiwa kuyafanya hapa duniani.
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Peacock hotel,Dar es Salaam, Tanzania
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.






