Advertisement
Ni Watoto festival iliyoandaliwa tena na hope of comfort kwa lengo la kuwafikia watoto waliopo vijijini .hii ilifanyika katika Kijiji Cha Gichameda tuliwapa tabasamu ,tulicheza nao,tuliimba nao na kuwapa zawadi .Mungu akubariki wewe ambaye umekuwa ukiungana na sisi katika kukamilisha maono haya.
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Arusha Tanzania, Dar es Salaam, Tanzania