Video Launch

Thu, 21 Aug, 2025 at 06:00 pm UTC+03:00

Mikocheni | Dar Es Salaam

Nafasi Art Space
Publisher/HostNafasi Art Space
Video Launch
Advertisement
🎬 Mziki na Maarifa inakuletea uzinduzi rasmi wa video mpya ya muziki ya @its_gloria_m iitwayo β€œTunatokaje Hapa”, utakaofanyika Alhamisi, tarehe 21 Agosti 2025, saa 12 jioni (6:00PM) katika Nafasi Art Space!
Katika tukio hili maalum, @its_gloria_m, mshindi wa nafasi ya tatu katika shindano la Mziki na Maarifa, atazindua kazi yake ya ubunifu inayochunguza masuala ya kijamii kwa kupitia muziki – kazi yenye ujumbe, hisia, na harakati.
Usikose kuwa sehemu ya uzinduzi huu wa kihistoria ambapo muziki unakuwa chombo cha mabadiliko!
πŸ’‘ Project hii umeandaliwa na @nafasiartspace kwa ushirikiano na @tanzaniaborainitiative na @eastafricaradio, kwa udhamini wa Umoja wa Ulaya πŸ‡ͺπŸ‡Ί @euintanzania
#TunatokajeHapa #MzikiNaMaarifa #GloriaM #NafasiArtSpace #TanzaniaBoraInitiative #EastAfricaRadio #EUTZ #ArtForChange #YouthVoices #CreativeProtest
βΈ»β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
🎬 Mziki na Maarifa presents the official launch of @its_gloria_m’s new music video titled β€œTunatokaje Hapa”, happening on Thursday, 21st August 2025 at 6:00PM at Nafasi Art Space!
@its_gloria_m, the third-place winner of the Mziki na Maarifa competition, will premiere her powerful and expressive video β€” a creative reflection on society, transformation, and resilience through music.
Be part of this special moment where music becomes a tool for change!
πŸ’‘ This project is brought to you by @nafasiartspace in collaboration with @tanzaniaborainitiative and @eastafricaradio, with support from the European Union πŸ‡ͺπŸ‡Ί @euintanzania
#TunatokajeHapa #MzikiNaMaarifa #GloriaM #NafasiArtSpace #TanzaniaBoraInitiative #EastAfricaRadio #EUTZ #ArtForChange #YouthVoices #CreativeProtest
Advertisement

Event Venue & Nearby Stays

Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania

Sharing is Caring:

More Events in Dar Es Salaam

Pre-registration - Africa Real Estate Summit, Awards, Expo, & Masterclass
Fri, 22 Aug at 10:00 am Pre-registration - Africa Real Estate Summit, Awards, Expo, & Masterclass

Protea Hotel Dar es Salaam Courtyard

Connect with Nature
Sat, 23 Aug at 06:00 am Connect with Nature

Pugu Hills Forest Reserve

GANESH UTSAV, DAR ES SALAAM 2025
Wed, 27 Aug at 10:30 am GANESH UTSAV, DAR ES SALAAM 2025

Kisutu, Dar es Salaam

Vibe Coders Conference
Thu, 28 Aug at 02:00 pm Vibe Coders Conference

Mlimani City

CLUB MEETING
Fri, 29 Aug at 06:00 pm CLUB MEETING

Millenium Towers

Teddy Bear Picnic
Sat, 30 Aug at 09:30 am Teddy Bear Picnic

Manara Road, Ada Estate, Dar es Salaam, Tanzania

Dar Es Salaam is Happening!

Never miss your favorite happenings again!

Explore Dar Es Salaam Events