Advertisement
Last month on Sunday, Sept 5th, tulifanya our very first Seraphim Sunday na ilikuwa powerful sana! Tunamshukuru Mungu kwa uwepo wake. Truly, it’s all about Jesus. Sasa tunaandaa the next Seraphim Sunday… preaching Jesus to the streets, kwa maeneo ambayo mara nyingi hayapati street worship au crusades.
Tungependa kusikia kutoka kwenu una maoni, mawazo au ushauri gani tunapopanga hii next?
#SeraphimSunday
#StreetWorship
#AllAboutJesus
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Embakasi, north airport road,Nairobi, Kenya

Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.