Advertisement
Holiday Tour @pandegamereserve Na @serisfoundation it was an amazing day tume #enjoy with #vibe
Kwenye sekta ya Utalii, Vibes, Games, Vacation na Burudani tutakuwa hapa @pandegamereserve
May 23, 2025.
Haya yote ni maandalizi kuelekea Summit tuliyokuandalia kijana wa kitanzania kwa kushirikiana na @erb_tz inayokwenda kwa jina la "Youth in Science and Technology Summit" - YST Summit 2025.
Usipitwe na fursa hii adimu iliyosheheni mambo mengi mazuri.
Kama bado haujajisajili endelea kujisajili kupitia Tovuti ya www.serisfoundation.org
Tunapewa nguvu na #nationalinsurancecorporation
@tawa_tanzania @erb_tz @goldenstarconsultants @hiltonlawgroup @stanbicbanktz
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Mchafukoge, Dar es Salaam, Tanzania