Advertisement
Shule yetu ya Mikamba Secondary School iliyopo sehemu nzuri na tulivu katika kijiji Kidahwe kata ya kidahwe wilaya ya kigoma vijijini inawatangazia nafasi za masomo walezi,Wazazi na Jamii kwa ujumla nafasi za masomo ya pre-form one na nafasi za kuhamia shuleni hapo,Shule yetu ipo njia ya panda na barabara iendayo Kasulu na barabara iendayo Uvinza,Licha shule yetu kuwa matokeo mazuri katika kila mitihani ya Kitaifa,Shule yetu inawandaa watoto wetu kielimu kulingana na mahitaji ya elimu na ajira kwasasa,Shule ina mazingira mazuri ambayo yanamfanya mtoto wako Awe huru kujisomea,kujifunza na kufundishwa kwa vitendo hasa masomo ya Sayansi na masomo ya michezoNafasi za kuhamia mtihani utafanyika tarehe 13/09/2025 na masomo ya pre-form one yataanza tarehe 15/09/2025. Wahi sasa na mlete mwanao shule ya Mikamba Secondary School apate elimu bora. Kwa mawasiliano zaidi piga
MENEJA WA SHULE
0765900703
0684900703
0768314033
MKUU WA SHULE
0753819156
0713116939
SECOND MASTER
0753826557.
Mlete mwanao Mikamba Secondary School kwa mafanikio ya mwanao ili apate elimu stahiki.
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Kigoma Town, Dar es Salaam, Tanzania