Advertisement
Je, bado unatumia mbinu zile zile za kilimo bila mafanikio?Muda umefika wa kubadilika! Jitokeze kwenye Kilifi Farmers Forum tarehe 23.08.2025 katika Pwani University ujifunze mbinu bora, za kisasa na zenye tija zaidi.
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuanza safari yako kuwa mkulima wa kisasa, mwenye mavuno ya kutosha na faida kubwa!
#COCOFM
#ladhayapwani
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Pwani University, Sea Horse Beach Kilifi, Kilifi, Kenya