dr

Wed, 01 Jan, 2025 at 03:00 am UTC+03:00

Kisutu, Dar es Salaam | Dar Es Salaam

MIMEA TIBA
Publisher/HostMIMEA TIBA
dr
Advertisement
Nyota ya mapacha ♊ ni nyota ya tatu kwenye mlolongo wa nyota kumi na mbili,, Kipindi cha nyota ya mapacha ni Kipindi ambacho jua linakuwa kwenye digrii 60 hadi digrii 90 ya mstari wa longitudi, watu wanaozaliwa Kipindi hiki Wanakuwa na nyota ya mapacha.
Nyota ya mapacha ♊ ni nyota inayohusu habari na mawasiliano. Hii ndio nyota ambayo watu wake wana uwezo mkubwa wa kupokea na kutoa taarifa mbali mbali, hii inawafanya wafanye vizuri kwenye kazi za uandishi wa habari na uandishi wa stori mbali mbali.
Watu wa Mapacha Wana uwezo wa kuishi sehemu yoyote ile, Kwa sababu ni wepesi wa kukopi na kuendana na mazingira yaliyowazunguka,, jambo hili linawafanya wafanye vizuri kwenye biashara.
Nyota ya mapacha ♊ ni nyota inayohusu elimu, hivyo watu wake ni wepesi wa kujifunza na kufundisha watu wengine, Hawa ni walimu au wajumbe wazuri katika jamii yetu.
Watu wa Mapacha ni waongeaji Sana, wanapenda kuongea na ni wacheshi wakiwa mbele ya watu, wanapenda stori za kuchekesha na stori za kuburudisha.
Kutokana na uwezo wao mkubwa wa kutumia mdomo wao, inawafanya wafanye vizuri kwenye siasa, filamu, muziki, elimu, na kazi zote zenye matumizi makubwa ya mdomo.
Nyota ya mapacha ♊ sehemu yake ya mwili ni kwenye mikono, hivyo watu wa Mapacha wanafanya vizuri kwenye uandishi wa makala mbali mbali, lakini pia wanafanya vizuri kwenye michezo ya kuendesha magari, kukimbiza pikipiki, masumbwi, netball, basketball, cricket, tenesi, na michezo yote inayohusu matumizi makubwa ya mikono.
Watu wenye nyota ya mapacha hisia zao za mapenzi zipo kwenye mikono na akili zao,, mtu mwenye nyota ya mapacha ukiongea nae muda mrefu maneno ya mahaba unaiteka akili yake, na hisia za mapenzi zinaanza kuja kwenye akili yake.
Kwenye mahusiano au mapenzi mtu mwenye nyota ya mapacha haendeshwi na moyo wake bali anaendeshwa na akili yake., hivyo akili yake ndio anayoitumia kwenye mahusiano yake, tofauti na watu wenye nyota ya kaa ♋ wanaendeshwa na moyo wao ndio maana wanakuwa na hisia Kali kwenye mahusiano,, hapa simaanishi watu wenye nyota ya mapacha hawana upendo Kwa wapenzi wao, hapana. Watu wa Mapacha Wana upendo pia, ila akili yao ndio silaha yao kubwa ya kufanya maamuzi ya Jambo lolote,, tofauti na watu wenye nyota ya kaa muda mwingine wanashindwa kufanya maamuzi sahihi ya jambo kwa sababu moyo umeshapenda.
Nyota ya mapacha ♊ ni nyota inayohusu habari na mawasiliano, hivyo watu wa Mapacha wanaweza wakapata pesa nyingi wakifanya kazi kwenye makampuni ya mawasiliano, au wanaweza wakapata pesa nyingi wakifanya biashara za kuuza vifaa vya mawasiliano kama simu, redio na televisheni, au ufundi simu, redio na tv.
Nyota ya mapacha ♊ ni nyota inayohusu usafirishaji wa ardhini, hivyo watu wa Mapacha wanaweza wakapata pesa nyingi wakifanya kazi kwenye makampuni ya usafirisha, au wakiwa madereva au maajenti wa mabasi mbali mbali.
Watu wenye nyota ya mapacha siku yao nzuri ni jumatano, lakini pia wanaweza wakaitumia siku ya jumapili kama siku yao ya kusafiri.,, siku ambayo sio nzuri ambayo wanaweza wakapata hasara au wakapoteza pesa Kwa kufanya matumizi ambayo sio ya lazima ni siku ya jumamosi na Jumanne.
Watu wa Mapacha wanatakiwa wafunge na kufanya maombi Kipindi Cha mwezi mpevu ( full moon), hiki ni Kipindi ambacho funga zao na maombi yao yanakuwa na nguvu sana.
Kwa maswali zaidi au tiba niambie kwa uwezo w Allah ntakutatulia ni mim dr January
Advertisement

Event Venue & Nearby Stays

Kisutu, Dar es Salaam, Tanzania

Discover more events by tags:

Sports in Dar Es Salaam

Sharing is Caring:

More Events in Dar Es Salaam

New Year's Celebration 2025
Tue, 31 Dec, 2024 at 06:30 pm New Year's Celebration 2025

Golf Gymkhana Dar Es Salaam

HAPPY NEW YEAR with LUCKY SIX DRAW
Tue, 31 Dec, 2024 at 08:00 pm HAPPY NEW YEAR with LUCKY SIX DRAW

Africa Princess Casino

New Year's Eve Celebration at Africa Princess Casino
Tue, 31 Dec, 2024 at 09:30 pm New Year's Eve Celebration at Africa Princess Casino

Africa Princess Casino

Tropical Beach Getaway
Thu, 02 Jan, 2025 at 05:15 pm Tropical Beach Getaway

Zanzibar island, Tanzania

CANADA CONFRENCE
Mon, 06 Jan, 2025 at 10:00 am CANADA CONFRENCE

Omarilondo and swahili street, Dar es Salaam, Tanzania

Odoo Business Show - Dar es Salaam
Thu, 09 Jan, 2025 at 06:00 pm Odoo Business Show - Dar es Salaam

Julius Nyerere International Convention Centre - JNICC

10th Agro & Poultry Africa 2025
Thu, 23 Jan, 2025 at 08:00 am 10th Agro & Poultry Africa 2025

Dar Es Salam, Dar Es Salaam, Tanzania

Foodpack Africa 2025
Thu, 23 Jan, 2025 at 10:00 am Foodpack Africa 2025

Aga Khan Diamond Jubilee Hall

Dar Es Salaam is Happening!

Never miss your favorite happenings again!

Explore Dar Es Salaam Events