Advertisement
JE! WAJUA FAIDA YA KULA DAGAA KATIKA TIBA LISHE? 🤳0716959175
TUENDELEE KUZIJUA FAIDA ZA KULA DAGAA NO 3-5.
3. Afya ya mifupa dagaa ni chanzo kizuri Cha madini ya Calcium yenye jukumu la kuimarisha mifupa ya mwili lakini pia vitamini D hufanya kazi ya kuimarisha mifupa kwani ndiyo husaidia unyonywaji mwilini madini ya Calcium.
4. Dagaa na maradhi ya kansa, watafiti wameonesha jinsi ambavyo dagaa inavyoweza kudhibiti seli ambazo zinasambaza saratani mwilini, hii inathibitisha pasipo shaka virutubisho vilivyo kwenye dagaa hutoa kinga dhidhi ya saratani.
5.protein, kama una upungufu wa protini mwili kula dagaa kwa wingi kwani wao wana kiwango kikubwa Cha kirutubisho hicho
Protini husaidia uzalishaji wa Amino acid , Amino acid ni muhimu kwa uzalishaji wa chembe hai mwilini na uimarishaji wa mfumo wa kinga ya mwili.
Kwa dagaa Safi waliokaangwa tayari kwa kula usisite kujipatia hawa dagaa niwatamu MNO...
🤳0716959175...
Advertisement
Event Venue & Nearby Stays
Tegeta Kibaoni, Nyerere Road,Dar es Salaam, Tanzania
Concerts, fests, parties, meetups - all the happenings, one place.




